Internet ni neno la ki-spanish lenye maana ya biashara ya..(toholewa kwenda kwenye kiingereza--international network) lakini pia neno cafe ni la ki-dutch( pia ni toholewa kwenda kwenye kiingereza--cafe) kwa hiyo kwa kutumia vyanzo vyake halisia yaani ki-spanish na ki-dutch naweza sema kwamba -internet cafe- maana yake kwa kiswahili ni biashala ya cafe