torrents sio DM ndugu yangu. Ni protocol na mafaili yalibinywa na protocol hiyo. Kuna wateja wa hiyo protocol kama Vuze, Bittorrent, Deluge, utorrent et al. check link below:Maana yake unatumia hiyo IDM ku download data. Kama vipi jaribu kutumia torrents ni bora kwa ajili ya downloads kuliko. IDM
Ninatumia modem ya Zain kwaajili ya kwenye laptop yangu. Lakini kila nikitaka kudownload information kwenye internet, inanipa message hii: INTERNET DOWNLOAD MANAGER HAS NOT BEEN REGISTERED FOR 30 DAYS. TRIAL PERIOD IS OVER AND IDM IS EXITING..
Naomba msaada wenu jamani. hii inasababishwa na nini?
torrents sio DM ndugu yangu. Ni protocol na mafaili yalibinywa na protocol hiyo. Kuna wateja wa hiyo protocol kama Vuze, Bittorrent, Deluge, utorrent et al. check link below:
Torrent file - Wikipedia, the free encyclopedia
Uninstall IDM. Imeikamata browser yako na ina intercept downloads. Tumia Free Download manager, bure kabisa na ina viwango vya juu sana!

 
Mkuu fuata maelekezo ya baba mtu na link amekuwekea.
Au maelekezo hayo bado ni magumu kwako ayalainishe zaidi?Jamani naomba munieleweshe namna ya kufanya mimi siyo mtaalamu kabisa wa hii technology. ni mtumiaji tu. mwenye kuelewa anieleweshe nifanye nini?
Hawa ni wateja wa hii protokali (Bittorrent clients) kama vile:Asante mkuu kwa elimu lakini mimi nina software ya torrent ambayo ninaitumia ku download softwares katika mfumo huo na kuzitumia kama kawa.
Revo Uninstaller Quick GuideJamani naomba munieleweshe namna ya kufanya mimi siyo mtaalamu kabisa wa hii technology. ni mtumiaji tu. mwenye kuelewa anieleweshe nifanye nini?
chukua hii mkuu with key http://tinyurl.com/5sf3yh3wakuu mimi pia natumia window 7 but kila niki-instal IDM inagoma.window inarestrict nifanyeje???