Internet Explorer help

Internet Explorer help

Nkamangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
641
Reaction score
32
Naombeni msaada, ninatumia IE version 8 lakini sasa nikiclick link ili tab nyingine ifunguke au media player link itokee etc tab/link inatokea lakini iko empty inasearch indefinately. Kama kuna alieelewa tatizo tafadhali nielekeze in lay man's term jinsi ya kutatua hili tatizo.
 
achana na IE, tumia Google Chrome au Mozilla FireFox
 
Asante kwa ushauri, ninazo ila nilizoea IE,sasa nazitumia. Nina kaobsession ka kurepair vitu but I guess I'll have to pass on this one
 
Avant browser ni nzuri kuliko IE au nyinginezo na inafanya kazi kama IE
 
Back
Top Bottom