Hii INJI wawekezaji ni wachakachuaji tu, mpaka lini watu watanunua internet kama mafuta ya taa kwa vipimo?Wakubwa habari za kazi,
wakubwa internet inamaliza mkwanja wngu,hakuna njia ambayo mtu unaweza kupata line ambazo zimechakachuliwa jamani?
Mimi natumia ya airtel na natumia simu yangu kama moderm wakubwa naliwa hela mpaka muda mwingine nashndwa hata kushare nanyi ma softwire,jaman msaada unahtajika kwa yeyote mwenye maujanja.
Nanunua vifurushi,hasa cha airtel kila mwezi.
Wakubwa habari za kazi,

Je unaweza ku quantify hizo hela unazotumia kwa siku au kwa wiki. ni shilingi ngapi?
Unajua binadamu wote si sawa weigine tunaweza kuona 20,000 kwa wiki ni nyingi wakati kwa wengine ni kiasi ch kawaida tu.
Vile vile labda umeweka mambo ya kuupdate automatic so hata unapokuwa hutumii internet inakula kwa kucheck na kufanya update ya OS na software mbali mbali. So tatizo hapa laweza kuwa ni configuration na na set up ya modem na application zako.
Windows7 Ultimate: kulia chini kwenye corner kuna "flag" kibendera, click hiyo itafunguka utaona Change Windows Update settings; click hiyo, window ingine itafunguka nenda "let me choose" ingia hapo->important updates, shusha/fungua ulimi-> Never check for updates(not recommended) then click OK and its done.Mkuu hapa nifafanulie kidogo namna ya kupiga stop hizi automatic update natumia win7 ultimate,
Pili kwamuda mrefu sasa natumia sasatel nataka niwapige chini, je ni provider gani atanifaa kwa bajeti ya sh elf30 kwa mwezi itakayo niwezesha kubrowse net kwa matumizi ya kawaida ambayo si download software, move, game, labda picha, youtube kidogo na mp3 kidogo.
Mkuu natumai sijapora thread yako itasaidia kujua unafuu pia
mkuu nimeiona na nimeipiga stop hata hivyo nitakuwa naifungulia nikienda cafe au nitaweka maalumu kwa updates angalau kwa wiki mara moja.Windows7 Ultimate: kulia chini kwenye corner kuna "flag" kibendera, click hiyo itafunguka utaona Change Windows Update settings; click hiyo, window ingine itafunguka nenda "let me choose" ingia hapo->important updates, shusha/fungua ulimi-> Never check for updates(not recommended) then click OK and its done.
Note: Updates zingine ni muhimu for security reasons na pia katika kurekebisha kasoro katika computer yako kwa hiyo ushauri wangu kila baada ya muda ni vyema ku-update computer yako.
........
Note: Updates zingine ni muhimu for security reasons na pia katika kurekebisha kasoro katika computer yako kwa hiyo ushauri wangu kila baada ya muda ni vyema ku-update computer yako.
[/FONT][/SIZE]