Internet is cheaper in Kenya than Tanzania averagely

Yaani hawa jamaa na statistic uchwara [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimuambia alete bei ya 1gb (in $) kakimbia.
😂😂😂 Huwa vinajidanganya sana bado havijui Tanzania ni zaidi ya waijuavyo

Aje hapa sasa atuambie ni lini 4Gb Kenya iliuzwa kwa 48 KES, Hapo hata nusu dollar haifiki na ni 4Gb.
 
Naona mwingine hapo juu kaandika 1$ unapata 4gb wakati hiyo 1$ unapata 10 gb [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Huwa vinajidanganya sana bado havijui Tanzania ni zaidi ya waijuavyo

Aje hapa sasa atuambie ni lini 4Gb Kenya iliuzwa kwa 48 KES, Hapo hata nusu dollar haifiki na ni 4Gb.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…