Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Wajamvi,
Jana wakati nashusha movies kadhaa kwa simu, nilikua na bando la internet kwenye simu ambalo nilijiunga kwa ajili ya saa 5usiku-12asbh.
Mara kadhaa nilikua nafuatilia kasi ya internet ambapo ilikua ikicheza kati ya 300-500kbs/sec.
Kwenye mida ya saa 8usk hivi nakuja kucheki speed ilifika mpaka 1Mb/sec, nikaamua kucheki salio la bando ya internet kama vipi niongeze. Mara Paaap! ni 0Mb.
Nikaruka fasta kwenye salio la kawaida la fedha, Mara paaap wamekata karibia 9k.
Nikaamua kuunga tena bando ya internet, cha ajabu haikufika tena kwenye 1Mb/sec kama ilivyokua ikitumika salio la kawaida.
Vipi kwa uzoefu wako, ulishawahi kutana na hii hali?