Internet MiFi za airtel

Internet MiFi za airtel

Vsanene

Senior Member
Joined
Feb 26, 2017
Posts
100
Reaction score
84
Habari wadau,

Karibu ujipatie internet mifi za airtel kwa shillingi elfu 50 tuu. inaunganisha zaidi ya watu 10 kwa umbali wa mita 100, na vifurushi vyake ni vizuri na speed ya uhakika karibuni sana wateja.

Unaeza nichek kwa number 0654043435 kwa maelezo zaidi.
 
Nauliza tu mkuu, bundles inaexpire kama hizi za kawaida au ukilipia ya mwezi unatumia exactly mpaka mwezi utimie bila kujali matumizi yako? Kama wi-fi za Zuku
 
Mkuu habari!

Ukinunua ya mwezi ina maana mwezi ukiisha itakuwa ime expire kuanzia ile tarehe uliyo ninja.

Yaani kwa kifupi izi bundle zake ni limited.
 
Hujanielewa mkuu,kuna moja ninayo ni ya Airtel pia,ukinunua bundle la mwezi likitumika sana inaisha kama kawaida tu hata week inawezekana isitoboe,ndiyo maana nimeuliza,hii haiangalii matumizi mpaka tarehe uliyonunua? Maana hii nilinunua zamani kidogo

Ooh sawa hii inaisha kwa jinsi unavyotumia manake inakuonesha matumizi yako. Hivyo usipotumia bundle lako liko pale pale afu pia izi ni mpya.
 
Back
Top Bottom