Mkuu habari!Nauliza tu mkuu, bundles inaexpire kama hizi za kawaida au ukilipia ya mwezi unatumia exactly mpaka mwezi utimie bila kujali matumizi yako? Kama wi-fi za Zuku
Mkuu habari!
Ukinunua ya mwezi ina maana mwezi ukiisha itakuwa ime expire kuanzia ile tarehe uliyo ninja.
Yaani kwa kifupi izi bundle zake ni limited.
Ooh sawa hii inaisha kwa jinsi unavyotumia manake inakuonesha matumizi yako. Hivyo usipotumia bundle lako liko pale pale afu pia izi ni mpya.Hujanielewa mkuu,kuna moja ninayo ni ya Airtel pia,ukinunua bundle la mwezi likitumika sana inaisha kama kawaida tu hata week inawezekana isitoboe,ndiyo maana nimeuliza,hii haiangalii matumizi mpaka tarehe uliyonunua? Maana hii nilinunua zamani kidogo
Basi nikama hii niliyo nayo tuOoh sawa hii inaisha kwa jinsi unavyotumia manake inakuonesha matumizi yako. Hivyo usipotumia bundle lako liko pale pale afu pia izi ni mpya.