Internet provider Kwa fiber | Tabata

Internet provider Kwa fiber | Tabata

AVO28

Senior Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
140
Reaction score
240
Wakuu naomba kujua kama kuna fiber internet provider yeyote ambae huduma zake zinafika mpaka Maeneo ya Tabata.

Naomba Contact au Website name..
 
Kuna jamaa wa CTV walikuwa maarufu mjini hapa zilipokuja Fiber za kina Zuku na Raha wamekosa mvuto,

Rafiki yangu Mmoja wa ilala ameniambia wameanza kuuza internet ilala, sina uhakika kama Tabata wamefika, jaribu kuwa cheki, bei ni kama zuku tu.

Thanks chief...Ntawapigia morning nione wanasemaje.
 
check na jamaa wanaitwa cootel nakumbuka hotel moja hapo tabata ilikua inatumia internet kutoka kwao
 
Hawa jamaa naona kama hawako kwenye business tena, Website yao iko Down na pia namba yao haipatikani. na last time kupost on facebook ni 3 years ago
 
Mwanzisha mada, ukikamilisha tafadhali tuletee mrejesho-- wengi wetu tumechoka kununua vifurushi kila mwezi. Mimi pia mkazi wa Tabata.
 
Kuna jamaa wa CTV walikuwa maarufu mjini hapa zilipokuja Fiber za kina Zuku na Raha wamekosa mvuto,

Rafiki yangu Mmoja wa ilala ameniambia wameanza kuuza internet ilala, sina uhakika kama Tabata wamefika, jaribu kuwa cheki, bei ni kama zuku tu.

Hiyo website inasumbua kufunguka kwenye simu...
 
Back
Top Bottom