Internet Service Provider

Internet Service Provider

Batumunwa

Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
5
Reaction score
2
Hello nahitaji msaada juu ya kumiliki biashara ya internet service provider.... "Kwetu kijijini Kuna uhitaji mkubwa Sana wa internet Je ? Nifanye ili niweze kufungua iyo biashara.. nahitaji njia za kupita wapi takuwa nina nunua data za kutosha ili kusupply kwa wateja wangu ...
 
Kwa dar najua unaweza nunua data kwa zuku na vodacom then ukiziuza na ww..cjajua upo mkoa gani...
 
Unataka kusupply kijiji kizima? Inabidi uwe mtaji mkubwa sana. Ila kama ni KWA majirani tu fungua internet cafe hapo ni router, computer kadhaa, cables n.k
 
Back
Top Bottom