Hello nahitaji msaada juu ya kumiliki biashara ya internet service provider.... "Kwetu kijijini Kuna uhitaji mkubwa Sana wa internet Je ? Nifanye ili niweze kufungua iyo biashara.. nahitaji njia za kupita wapi takuwa nina nunua data za kutosha ili kusupply kwa wateja wangu ...
Unataka kusupply kijiji kizima? Inabidi uwe mtaji mkubwa sana. Ila kama ni KWA majirani tu fungua internet cafe hapo ni router, computer kadhaa, cables n.k