Moja ya marketing ya hovyo kuwahi kuona.
Unavokuja na tangazo make sure umejipanga na information zote
Sasa mtu unazunguka weeeh thread inakua ndefu bila sababu za msingi.
Pale page ya kwanza ilitakiwa information ziwe zinajitosheleza. Kuanzia kila kitu hasa package zenu ndio la msingi kuliko vyote.
Sasa wewe unakuja na bla bla tu mara bei itakua nafuu mara sjui nini! Watu wanataka ku compare cost zenu na huduma zenu vs waliopo hawa TTCL etc.
Hebu boresheni kitengo cha marketing kwenye kampuni yenu. Otherwise hampati wateja kqa namna hii.