Internet soko

EASTBUSINESS

Member
Joined
Jul 5, 2014
Posts
6
Reaction score
1
Hii ni baada yakuona interest za watu wengi for the online business:
Tunasaidia watu kununua bidhaa online:
Iwe ebay,amazon na online store nyingi tuu..
Kwa kuanza tunasaidia wale wanaotaka kununua bidhaa za bei ndogo, chini ya 100USD
Kama una established business na adress yako inajulikana, tunaweza kukubaliana ukalipa after.
Malipo ni 18% :
Ni PM if you are interested.
 
Mpo mji gani?
Malipo yote baada ya kupokea mzigo au 18% pekee?
 
Mpo mji gani?
Malipo yote baada ya kupokea mzigo au 18% pekee?

Yote baada yakupokea mzigo, ila kwenye bei iliyopo kwenye website utaongeza freight charges:
18% ni service fee:
Itabidi tupate uhakika kama kweli mzigo utauchukua ukishafika, ndio maana tunapendelea kufanya na registered companies:
For individuals itabidi ulipe kabla:
Tupo Mwanza, Arusha na Dar::
 
Yani sioni mnachokifanya hapo kwanini nisinunue kwa kadi yangu ya benki au kwenye simu yangu ya mkononi hadi nipitie kwenu au mnataka mpate details za kadi za watu na emails manake siwaelewi kabisa hebu toeni mfano wa hiyo huduma yenu inafanana na ipi duniani tu Google tuelewe vizuri
 

Samahani,inaelekea hujaelewa:
Kama una creditcard ya bank ambayo inakubali online transactions i.e kununua vitu kwenye mitandao kama ebay,amazon etc.. well and good, lakini kumbuka sio bank zote zinatoa huduma hiyo na kuna watu wanahitaji hiyo service; lejea threads za manunuzi kwa kutumia ebay utakubaliana namimi:

Hatuombi credit card details zawatu... tunatumia credit card zetu kuagiza mzigo au kulipia software yako ambayo unataka kununua.

Ukiuliza huduma hii inafanana na ipi.. naweza kukutajia hata paypal..tofauti nikwamba wao wanachukua credit card details zako wakati sisi tunahitaji a written contract between you and us.
 

Mimi nilishakuelewa ila tu idea yenu iko nyuma kidogo sasa hivi tatizo kubwa la watu sio kununua bali kuuza mitandaoni katika hilo kuna kamba za kutisha bado kidogo tu tunafikia kwenye maandiko yalikosema bila kuwa na chapa ya huyo mnyama hakuna kuuza wala kununua je nyie mtakuwa nayo? Tembelea hapa Home
 

Integrate paypal kwenye website yako kama unayo..it is free na utaweza kuuza na kulipwa kupitia account yako
 

Nimepitia link uliyoweka..japo the contents within zimenichanganya kidogo lakini inaelekea unataka kupokea malipo kupitia hii website;;;Ku ilink na VISA ni process ndefu kidogo lakini it is easier unaweza kuanza na paypal, process nyingine hufanya wao napesa inakufikia kwenye account yako harafu they charge too little
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…