Internet Telephony

Internet Telephony

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,925
Kwa wale wenye simu ambazo zina WIFI, software ya Fring ni bora kuiangalia. Vilevile pia unaweza ku configure simu yako kupiga simu kwa bei rahisi kwa kutumia SIP connection na kutumia huduma rahisi kama Nonoh.
 
asante mkuu,

Ninatumia Nokia E60, unaweza kunisaidia jinsi ya ku configure kupata internet telephony?
 
Mkuu, mbali na fring unaweza pia kufanya VoIP calls kwa kutumia 'Nimbuzz' symbian version kwa wenye simu za Nokia, Samsung na Sonyericsson zenye Symbian OS. OS nyingine kama WinMO (Windows Mobile), Palm OS, Android etc. zinaweza pia. Nimejaribu 'fring' na 'nimbuzz' kwenye EDGE networks, zinafanya kazi vizuri. Kwenye GPRS sauti inakuwa inakatika katika ingawa sio kwa sana.
 
asante mkuu,

Ninatumia Nokia E60, unaweza kunisaidia jinsi ya ku configure kupata internet telephony?

Simu yako inaweza kabisa, kwani mbali na kuwa ina Symbian OS 9.1 na SIP VoIP client, unaweza kudownload fring itakayokuwezesha kuwasiliana na yeyote mwenye fring (fring-fring calls), au hata kuwasiliana kwenye googletalk, yahoo, msn etc. via EDGE, WCDMA, au WiFi.
 
Just when you are about to slouch in your armchair settling for facebook and retracting from being bombarded by tweet micro feeds, you turn around to reach for a drink only to regain focus on your computer screen - another sort of networking community is calling for your attention. Geeez!

These two i think are enough for me. The dying out Hi5 and Facebook, finito.
Goodluck to Fring users though.
 
Yangu ni Motorola L7 (GPRS inafanya kazi vizuri), sijui kama nitaweza kufanya kitu fulani... naomba kujua, labda kuna sofware fulani nahitaji, wapi nipate nk. Asante.
 
asante mkuu,

Ninatumia Nokia E60, unaweza kunisaidia jinsi ya ku configure kupata internet telephony?

Hizi ni settings za Nonoh nilizofanya kwenye N95 yangu. Hata hivyo unaweza kutumia katika simu yako pia. Kuna jamaa aliandika hivi na mimi nikaziweka hizo settings, na sasa natumia Internet telephone badala ya kutumia service provider wa mobile phone. Jamaa aliandika hivi:

I can't help sharing here my successful Nonoh sip settings on my N95 with someone who has the same interest in Nonoh VOIP service. After trying hard for some time, finally I have the pure freedom of using mobile VOIP at home again, just as when I was using free Truphone calls a year ago. No need to set up other VOIP hardwares anymore if you have a Wifi at home and a Wifi device like N95 or E65, and no need to use the sip function within fring!


Kwenye simu yako fungua Menu=>Tools=>Settings=>Connection=>SIP settings, halafu jaza vipengele hivyo kama hapo chini.



Settings as below:
Profile name: Nonoh (or whatever you like)
Service Profile: IETF
Default access Point: **** (Your home Wifi network or others)
Public user name: username@nonoh.net
Use compression: No
Registration: Always on (my choice)
Use security: No

Proxy server (Leave it unchanged)
Proxy server address: None
Realm: None
User name: None
Password: ****
Allow loose routing: Yes
Transport type: Auto
Port: 5060
Registrar server (Need to customise this)
Registrar server address: nonoh.net (no 'sip' in the beginning)
Realm: nonoh.net
User name: username
Password: ****
Transport type: Auto
Port: 5060

Ukishajaza zote hizo rudi Connection=>Internet tel=> Nonoh, hii inakuwezesha kuregister kwenye simu hiyo service. Ukitaka kupiga simu za internet, nenda phone book, chagua namba, nenda option, chagua internet call halafu OK.

Muhimu: Inabidi uwe umeregister kwenye serice ya VOIP kama Nonoh ili uwe na username na password.
 
Can you help with a list of software that I can use for making internbational phone call over the internet from my phone
 
There are so many. Just use your search engine and type VOIP. I can suggest a few though:

Nonoh-this is the one I use, and probably the cheapest
12Voip
VoipStunt etc. etc.
 
Back
Top Bottom