atlwindows
Member
- Oct 29, 2009
- 17
- 0
Lah. WaTz mko nyuma, tena sana.
Eti 40000 kwa mwezi? makampuni ndiyo yafaa kulipa bei kama hio.. ooh, nilikuwa nimesahau ni Ts Shillings, LOL
Unlimited offers hapa kwetu ziko kwa wingi. Kuna kampuni inaitwa Wananchi inayolipisha shilingi 4,999 za Kenyw kwa mwezi for unlimited internet ya speed ya 1mbps.
Safaricom ina offer ya unlimited ya Wimax inayogharimu 5999 kwa speeds za 2mbps. Nimeona wako tayari kuzindua internet ya 4G miezi miwili ijayo ambayo itakuwa na speed za kushangaza (600mbps-1.5Gbps).
Dah! wakenya mko mbele tena sana! By the way, ule mpango wako wa kuja kufanya kazi ya uwakili hapa bongo unaendaje?
La hasha. Mimi sikusema nataka kuja huko Tz kufanya Kazi, ila tu nilitaka kuwajulisha kuna wakili shupavu anayehudumia wateja kwa mtandao hadi wanashangaa. Niko na 95 percent positive feedback kwa elance.com (watu chachache sana wanaweza kujigamba na takwimu kama hizo). Nilikuwa na mpango wa kutembelea Tz kama mtalii tu, lakini baada ya kuyasoma maoni ya WaTZ kwa JF (sana sana maoni ya kuoghofia dhidi ya Wakenya), nahofia usalama wangu mara tu nitakapogunduliwa mi mkenya kwa hivyo sina mipango ya kutembea huko kwenu.
Lah. WaTz mko nyuma, tena sana.
Eti 40000 kwa mwezi? makampuni ndiyo yafaa kulipa bei kama hio.. ooh, nilikuwa nimesahau ni Ts Shillings, LOL
Unlimited offers hapa kwetu ziko kwa wingi. Kuna kampuni inaitwa Wananchi inayolipisha shilingi 4,999 za Kenyw kwa mwezi for unlimited internet ya speed ya
Safaricom ina offer ya unlimited ya Wimax inayogharimu 5999 kwa speeds za 2mbps. Nimeona wako tayari kuzindua internet ya 4G miezi miwili ijayo ambayo itakuwa na speed za kushangaza (600mbps-1.5Gbps).
Wewe nduyangu mkenya mbona unakiherere kama kuku mtetea mbonanyiyi mnamabo yakijinga hivi inahusu nini kama sisi tuponyuma amatupo mbele nini cha ajabu ndomana mnalimana mapanga mtukauliza bongo we untletea sisisisi kenya mnanini nyie mnakula maliasiliyetu unarikia mabo hayakuhusu kwani huyu jamaa anataka kuweka Itanet kenya mpakautuambia mitandao yenu hujasomanini majitumengine kichefcheu kinoma sijui dege la jeshi au mtambo
:confused2:Nahata sisi hatunashida yakutembelewa nawajinga kamawewe mawzo yako vinyu bongo tokalini hakuna usalama niyinyi patanikwanza ndo muangalie ya wenzenu
Lah. WaTz mko nyuma, tena sana.
Eti 40000 kwa mwezi? makampuni ndiyo yafaa kulipa bei kama hio.. ooh, nilikuwa nimesahau ni Ts Shillings, LOL
Unlimited offers hapa kwetu ziko kwa wingi. Kuna kampuni inaitwa Wananchi inayolipisha shilingi 4,999 za Kenyw kwa mwezi for unlimited internet ya speed ya 1mbps.
Safaricom ina offer ya unlimited ya Wimax inayogharimu 5999 kwa speeds za 2mbps. Nimeona wako tayari kuzindua internet ya 4G miezi miwili ijayo ambayo itakuwa na speed za kushangaza (600mbps-1.5Gbps).
Hivi internet ya 4G ipo Kenya tu?

Hicho kiherehere utaja olewa wewe, sasa 40,000 ya Tz na 5000 Ksh nani analiwa?
not only billions but trilionsJust confirmed the guy actually said 60000, not 40000. Considering its a limited service (8GB), I would say Tanzanians are being ripped off. 5000 Kshs (about 100,000 Tzshs) is for Unlimited service for a whole month (I should add that the speeds are quite good). Considering I download like 30GB of data every week, if I was in tanzania, I would be paying millions (maybe even billions) of shillings if I took up the above offer
Just confirmed the guy actually said 60000, not 40000. Considering its a limited service (8GB), I would say Tanzanians are being ripped off. 5000 Kshs (about 100,000 Tzshs) is for Unlimited service for a whole month (I should add that the speeds are quite good). Considering I download like 30GB of data every week, if I was in tanzania, I would be paying millions (maybe even billions) of shillings if I took up the above offer
We njoo tu. Huku mambo ya kuangalia mtu rangi au anatoka kabila gani hayapo. Ila usije na hizo big head attitude zenu.La hasha. Mimi sikusema nataka kuja huko Tz kufanya Kazi, ila tu nilitaka kuwajulisha kuna wakili shupavu anayehudumia wateja kwa mtandao hadi wanashangaa. Niko na 95 percent positive feedback kwa elance.com (watu chachache sana wanaweza kujigamba na takwimu kama hizo). Nilikuwa na mpango wa kutembelea Tz kama mtalii tu, lakini baada ya kuyasoma maoni ya WaTZ kwa JF (sana sana maoni ya kuoghofia dhidi ya Wakenya), nahofia usalama wangu mara tu nitakapogunduliwa mi mkenya kwa hivyo sina mipango ya kutembea huko kwenu.