MkenyaMzalendo
Senior Member
- Sep 12, 2010
- 171
- 16
Kasopa tatizo ni kisomo au ni matumizi ya keyboard? Ndugu yangu aibu hiyo. Mkenya akitucheka utasema ni malingo?Wewe nduyangu mkenya mbona unakiherere kama kuku mtetea mbonanyiyi mnamabo yakijinga hivi inahusu nini kama sisi tuponyuma amatupo mbele nini cha ajabu ndomana mnalimana mapanga mtukauliza bongo we untletea sisisisi kenya mnanini nyie mnakula maliasiliyetu unarikia mabo hayakuhusu kwani huyu jamaa anataka kuweka Itanet kenya mpakautuambia mitandao yenu hujasomanini majitumengine kichefcheu kinoma sijui dege la jeshi au mtambo
If u do live in AFrica or elsewhere ambako wapo linient vs internet's piracy, parasitism & anarchism u can enjoy the ride while it lasts, lakini u can't fool me kwamba u can't tell the difference btn legal & illegal downloads.If they were illegal they would have been shut down by now, wouldn't they? Besides, there are numerous exceptions in the copyright law so what do you know.
***The above is a reply to Abdulhalim*****
Kasopa tatizo ni kisomo au ni matumizi ya keyboard? Ndugu yangu aibu hiyo. Mkenya akitucheka utasema ni malingo?
Limbukeni hana siri. First hakuna internet ya 4G unless you associate mobile phone technology. Kenya is not an example na kuwakandia Wabongo. What is said about Kenya does not belong to native Kenyans but few individuals and puppets of mainly British colonialists. Unaweza kusema unachotaka lakini ukweli unabaki pale pale, same applies to SA ambako bado white settlers are masters. Hivi hamuoni aibu kutumiwa kama watumwa? Seychelles hivi sasa ndio wako mbele kwa kuongoza kuwakwamua raia wake toka kwenye umasikini sio Kenya na flying toilets zao. Angola wanaweza kusema kidogo au Botswana. Nyang'au Nay!
Stop embarrassing yourself
4G - Wikipedia, the free encyclopedia
Daily Nation:*- Business News*|Kenya's Safaricom says to test 4G later in 2010
Oh, and Tanzanians love (white) south Africans more than black Kenyans (Air Tanzania saga, SAB, Shoprite, SADC and many other pro Sa agendas)
Thirdly, there is no credibility that whites own Kenya. 80 percent of shares traded at NSE are black owned, ost companies are owned by Kenyans, ran by Kenyan CEOs etc.
Why I am even bothered by your post? You seem to have a phobia for research yet happy to make wild allegations.
Spidi ikoje?Yes Zantel ni wazuri na wako cheap, unaweza kuingia kwenye package yao ya high life na ukapata 2GB kila wiki kwa sh 10,000. Kwa sasa wamunguza bei ya moderm zao za 3G to 49,900
Modem za Zantel ni za 3G au ni za CDMA? naomba kufahamishwa kuhusu hili tafadhali.Kwa sasa wamunguza bei ya moderm zao za 3G to 49,900
Mambo Wakuu wangu,
Nilitaka ku nunuwa internet kwagili personal use, sasa sijui kama nichukuwe ya kampuni aina gni ?
I need UNLIMITED.. and CHEAP (ofcourse 😛)
TTCL- Nime sikiya TTCL wanayo UNLIMITED kwa 40k per month .. is it worth ? how much is their modem ?
ZANTEL- Wanayo ofa ya modem kwa shs50,000 and but NOT unlimited...
Plz give your EXPERIENCE and views... 🙂
Mzee leo umenifurahisha sana kwa hii post. Hata hivyo unlimited siyo absolute Abdu hapa imetumika kwa maana yake tuliyoizea yaani unlimited in a sense that you are limited by other circumstances in its use.Hamna kitu unlimited ktk literal or direct meaning ..sayari yenyewe ni limited utawezaje kuwa na resource infinite wakati sayari yenyewe ni finite?
Sawa muungwana.Mzee leo umenifurahisha sana kwa hii post. Hata hivyo unlimited siyo absolute Abdu hapa imetumika kwa maana yake tuliyoizea yaani unlimited in a sense that you are limited by other circumstances in its use.
Tataizo waTanzania bado hamjamuelewa huyu Mkenya, wengi wa wa tZ tunadhani kutumia internet ni ku cheki emails , kusoma magazeti na kuchat, ndio mana tunapo pewa hivyo vi *GB kwa bei kubwa bado tunaona dah mbona tuna bahati, wakati wenzetu wa Kenya wamesha amka wana elewa nini matumizi ya Internet , Mfano naona hapojama na ashanga hizo 30GB kwa week. Bado tuna chargiwa bei kubwa kwney internet na watu bado hatuelewi