internet ya bei nafuu

internet ya bei nafuu

dalu

Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
24
Reaction score
4
salam wadau,mtandao gani kwa tanzania internet yake ni nafuu na huduma iko vizuri?hii yote inatokana na airtel kutukatili bundle yetu ya 400 MB kwa 2500.asante
 
hakuna rahisi mkuu zaidi ufunge mkanda tu na hiyo airtel ya saa 24 zaidi ya hapo toa 30K kama unayo kwa mwezi..
 
Back
Top Bottom