D dalu Member Joined Dec 12, 2011 Posts 24 Reaction score 4 May 1, 2012 #1 salam wadau,mtandao gani kwa tanzania internet yake ni nafuu na huduma iko vizuri?hii yote inatokana na airtel kutukatili bundle yetu ya 400 MB kwa 2500.asante
salam wadau,mtandao gani kwa tanzania internet yake ni nafuu na huduma iko vizuri?hii yote inatokana na airtel kutukatili bundle yetu ya 400 MB kwa 2500.asante
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 May 1, 2012 #2 hakuna rahisi mkuu zaidi ufunge mkanda tu na hiyo airtel ya saa 24 zaidi ya hapo toa 30K kama unayo kwa mwezi..
hakuna rahisi mkuu zaidi ufunge mkanda tu na hiyo airtel ya saa 24 zaidi ya hapo toa 30K kama unayo kwa mwezi..
D dalu Member Joined Dec 12, 2011 Posts 24 Reaction score 4 May 1, 2012 Thread starter #3 ndetichia said: hakuna rahisi mkuu zaidi ufunge mkanda tu na hiyo airtel ya saa 24 zaidi ya hapo toa 30K kama unayo kwa mwezi.. Click to expand... sawa mkuu hapo kweli bora punda afe ila mzigo ufike
ndetichia said: hakuna rahisi mkuu zaidi ufunge mkanda tu na hiyo airtel ya saa 24 zaidi ya hapo toa 30K kama unayo kwa mwezi.. Click to expand... sawa mkuu hapo kweli bora punda afe ila mzigo ufike