Internet ya bure segemu

Internet ya bure segemu

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,013
Reaction score
1,183
Habari Tanzania !

Nipenda kuweka maombi kwenu ewe SERIKALI na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania mkishirikiana na Makampuni ya huduma ya Mawasiliano nchini.
Endapo na ikiwapendeza mtoe huduma za FRER INTERNET WIFE kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu na sehemu zenye biashara aidha ndogo, kati au kubwa.

Mfano; Stendi zote za Mabasi na Daladala nchi nzima, Masokoni, Mashuleni, Vyuoni na Miji ambayo ni Majiji hapa nchini.

1. Jinsi ya kujipata msilalamike kuhusu gharama za utoaji wa hizo huduma.
Tunaomba muongeze Tsh.100/= au Tsh.50/= kwenye nauli za usafiri, gharama za kuingia kwenye stendi za Daladala au Mabasi ya mikoa, kutoa fedha kwa njia ya mtandao ya simu.

2. Na nyie mtaongezea sasa.

Karibu.
 
1. Jinsi ya kujipata msilalamike kuhusu gharama za utoaji wa hizo huduma.
Tunaomba muongeze Tsh.100/= au Tsh.50/= kwenye nauli za usafiri, gharama za kuingia kwenye stendi za Daladala au Mabasi ya mikoa, kutoa fedha kwa njia ya mtandao ya simu.
Ushauri wako ni mzuri ila vyanzo vya mapato ulivyoeleza vinaonyesha ni kiasi gani viongozi wenye mtazamo kama wako wanaifikisha nchi hapa ilipo.

Kama kila huduma itakuwa wanaongeza makato na tozo basi kama taifa tunakuwa tumefeli 100%.

Rasilimali zote tulizonazo hizi hatupaswi kutegemea Tozo na makato in everything, STUPID.
 
Ndio tuambiane hapa hizo rasilimali unazoziona wewe ambazo zinafaa kuwa "tozo" ya fidia juu ya miundombinu na gharama za uendeshaji ndio zipi rafiki!?
 
Duh aiseee hata bila ya kuongeza gharama hizo wanaweza toa hio huduma
Ulichoandika ni kweli na nisahihi. Tatizo wanapenda kuturamba pesa sasa lazima tuwashauri njia nyingi nyingi washindwe wao tu kutupa maisha bora kwa kila Mtanzania.
 
Ungejua hao Serikali unaowaomba ndio wamesababisha hata Bundle alishikiki basi ungeelewa kwamba unachofanya ni kumuachia Fisi akulindie kuku wako...

Kabla Serikali / TCRA haijaja na mawazo yao ya bei elekezi watu walikuwa wanatwanga mpanga vifurushi vya offer / Bure usiku..., matokeo yake hawa jamaa wapenda kumkamua mwananchi walivokuja na bei elekezi the rest is history....

Asante kwa hii taarifa nzuri. Kumbe hawa majamaa ni moto jamani.
 
Back
Top Bottom