Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Habari Tanzania !
Nipenda kuweka maombi kwenu ewe SERIKALI na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania mkishirikiana na Makampuni ya huduma ya Mawasiliano nchini.
Endapo na ikiwapendeza mtoe huduma za FRER INTERNET WIFE kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu na sehemu zenye biashara aidha ndogo, kati au kubwa.
Mfano; Stendi zote za Mabasi na Daladala nchi nzima, Masokoni, Mashuleni, Vyuoni na Miji ambayo ni Majiji hapa nchini.
1. Jinsi ya kujipata msilalamike kuhusu gharama za utoaji wa hizo huduma.
Tunaomba muongeze Tsh.100/= au Tsh.50/= kwenye nauli za usafiri, gharama za kuingia kwenye stendi za Daladala au Mabasi ya mikoa, kutoa fedha kwa njia ya mtandao ya simu.
2. Na nyie mtaongezea sasa.
Karibu.