Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
- Thread starter
-
- #21
n kwel mkuu,tenq ikifika saa nne usiku huwa wanazima kabixa internet haifany chochoteHalotel wana matatizo makubwa na huduma yao ya internet. Ni kwamba speed ya internet hubadilika kila siku, mfano leo na jana speed ni ndogo kiasi hata google webpage huwezi ku download. Mimi nina line ya chuo na huwa najiunga na vifurushi vya mwezi lakini haisaidii.
Ukipiga simu Customer Care kila mara wanakusomea ile standard script yao inayosema tatizo itakuwa ni simu yako na suluhisho pekee ni uzime simu halafu uiwashe. Hamna kitu! Cha ajabu nikibadilisha sim card nikaweka ya Vodacom mfano, kasi ya internet inabadilika kuwa kubwa.
HALOTEL MMEFELI! KILA SIKU NI MALALAMIKO YA WATEJA KUHUSU HUDUMA YENU YA INTERNET. PIA NI WABAHILI WAKUBWA HATA UKITUMIA LAKI MOJA KWA WIKI KUNUNUA KIFURUSHI CHA MWEZI HAMNA MFUMO WA KUWAGUNDUA NA KUWAZAWADIA WATEJA WENU WAKUBWA. SHAME ON YOU!

Wape wape Mkuu hata mimi wananiboa sana,mwanzoni walianza vizuri lakini as the days goes on wanazidi kuporomoka.Kwa kweli aibu kwao!Halotel wana matatizo makubwa na huduma yao ya internet. Ni kwamba speed ya internet hubadilika kila siku, mfano leo na jana speed ni ndogo kiasi hata google webpage huwezi ku download. Mimi nina line ya chuo na huwa najiunga na vifurushi vya mwezi lakini haisaidii.