Interns wa Afya watakiwa kusimamiwa vizuri

Interns wa Afya watakiwa kusimamiwa vizuri

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Watendaji katika Vyuo vya Afya na Hospitali wametakiwa kuwasimamia vizuri Watarajali (Interns) ili kuepusha kutibiwa na watu wasio wa uwezo

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi ametoa wito huo akisisitiza ubora kwenye Mafunzo yao ili watimize majukumu yao ipasavyo akisema, "Ukiacha, ipo siku unaweza kupata ajali anakuwekea kitu cha ajabu kinaoza kwenye Mifupa yako"

Unafikiri hatua hii itasaidia kuboresha Huduma za Afya?
 
Back
Top Bottom