Interns wa Hospitali ya Temeke walia njaa

Interns wa Hospitali ya Temeke walia njaa

Bhahebhu

Member
Joined
Dec 3, 2021
Posts
36
Reaction score
43
Wanabodi, hii ndio taarifa kubwa katika viunga vya hospitali ya rufaa ya mkoa wa Temeke, takribani unaenda mwezi wa tatu sasa vijana wa intern (nurses, doctors, lab, pharmacist), hawajalipwa posho yao ya kila mwezi kwa mujibu wa mkataba.

Hali hii imezua sintofahamu kubwa huku vijana hawa wakiwa hawajui nini cha kufanya, kufuatia kuendelea kupewa ahadi zisizotekelezeka.

Kwa kuwa wahusika hata humu wapo, hebu jaribuni kuwasidia hawa vijana hali zao ni mbaya sana.
 
Intern huwa hapati njaa..piga kazi kijana.

Kidding..

Hela za miezi ya mwanzo huwa ni kizungumkuti.sisi tulikaa 80 days na zaidi bila kitu..sijui Serikali kwa nini huwa wanazichelewesha..it's like huwa zinatafutwa kwanza.
 
Na kwa wale intern walionza mwaka jana utasema ni nn, kuna shida mahali, Mi kila siku natoa nauli na hela ya kula kwa kijana yupo intern ukiulza hela hatujalipwa
 
Ukiwa unamaanisha yeye amelipwa? Au anatumia pesa binafsi, mkuu kumbuka kuna vijana wanatoka familia maskini,kama huyo mdogo wako halii njaa bas ana other source ya kupata mlo. Kuwa serious na maisha ya watu
Anauza nguo sometimes online inawezekana inamlipa kwa kwel. .
 
Haha mdogo wangu jinsia ya kiume mangi.

Kiswahili kigumu sana meleta mada kasema Intern wanalia njaa. Mdogo wangu yuko pale na hajaniomba hela hata ya matumizi. Nimeuliza swal kwa mshangao kuwa kumbe kuna yanayoendelea na hajaniomba hela. .
Mbaya zaidi wanasikia wenzao hospitali zingine washalipwa muda
 
Intern huwa hapati njaa..piga kazi kijana.

Kidding..

Hela za miezi ya mwanzo huwa ni kizungumkuti.sisi tulikaa 80 days na zaidi bila kitu..sijui Serikali kwa nini huwa wanazichelewesha..it's like huwa zinatafutwa kwanza.
Mwanzo huwa ni mgumu, ni kawaida sana pesa za mwanzo za Interns kuchelewa
 
Back
Top Bottom