Yupo hospitali ganiMdogo wangu yuko Intern ila hajanambia kuwa analia njaa. .
Hospital ya rufaa temekeYupo hospitali gani
Jinsia gani mkuu?Mdogo wangu yuko Intern ila hajanambia kuwa analia njaa. .
Ukiwa unamaanisha yeye amelipwa? Au anatumia pesa binafsi, mkuu kumbuka kuna vijana wanatoka familia maskini,kama huyo mdogo wako halii njaa bas ana other source ya kupata mlo. Kuwa serious na maisha ya watuHospital ya rufaa temeke
Na kwa wale intern walionza mwaka jana utasema ni nn, kuna shida mahali, Mi kila siku natoa nauli na hela ya kula kwa kijana yupo intern ukiulza hela hatujalipwaIntern huwa hapati njaa..piga kazi kijana.
Kidding..
Hela za miezi ya mwanzo huwa ni kizungumkuti.sisi tulikaa 80 days na zaidi bila kitu..sijui Serikali kwa nini huwa wanazichelewesha..it's like huwa zinatafutwa kwanza.
Bora umeuliza wewe mkuuJinsia gani mkuu?
Jenga urafiki na waogonjwa bahat nzuri wagonjwa awali sanaNa kwa wale intern walionza mwaka jana utasema ni nn, kuna shida mahali, Mi kila siku natoa nauli na hela ya kula kwa kijana yupo intern ukiulza hela hatujalipwa
Haha mdogo wangu jinsia ya kiume mangi.Jinsia gani mkuu?
Anauza nguo sometimes online inawezekana inamlipa kwa kwel. .Ukiwa unamaanisha yeye amelipwa? Au anatumia pesa binafsi, mkuu kumbuka kuna vijana wanatoka familia maskini,kama huyo mdogo wako halii njaa bas ana other source ya kupata mlo. Kuwa serious na maisha ya watu
Mbaya zaidi wanasikia wenzao hospitali zingine washalipwa mudaHaha mdogo wangu jinsia ya kiume mangi.
Kiswahili kigumu sana meleta mada kasema Intern wanalia njaa. Mdogo wangu yuko pale na hajaniomba hela hata ya matumizi. Nimeuliza swal kwa mshangao kuwa kumbe kuna yanayoendelea na hajaniomba hela. .
Mwanzo huwa ni mgumu, ni kawaida sana pesa za mwanzo za Interns kuchelewaIntern huwa hapati njaa..piga kazi kijana.
Kidding..
Hela za miezi ya mwanzo huwa ni kizungumkuti.sisi tulikaa 80 days na zaidi bila kitu..sijui Serikali kwa nini huwa wanazichelewesha..it's like huwa zinatafutwa kwanza.
Asee tutafika lakini tumechoka mnoWaambie wawe wazalendo