Internship: Anahitajika msichana mwenye ujuzi wa wa IT

Internship: Anahitajika msichana mwenye ujuzi wa wa IT

edwin89

Member
Joined
Apr 12, 2016
Posts
95
Reaction score
99
Anahitajika mdada mwenye ujuzi wa wa IT

Kwenye nyanja zifuatazo:

1. Graphics design
2. Microsoft package
3. Networking design and implementing
5. Social media marketing
6. Good customer care

Nicheki chap inbox
 
FRESH MWANETU

Kwahiyo unatukataa maselaa

na wakati tunawajua wadada katika hizi mambo wengi ni weupeee..

FRESH TUU MWANETU
Hapana kuna kazi pia ya customercare inahitaji mtoto wa kike mwenye muonekano mzuri wa kuongea na wateja lakini pia lazima ajue hizo skills hapo juu tena ajue sana sio kidogo
 
Back
Top Bottom