Internship millioni kumi (10,050,146.26) per month

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Ondoa wasiwasi ndugu yangu. Fungua Link anza kufanya maombi hizo nafasi zipo na zinatangazwa kila siku. Na maombi ni bure na tunaomba kila siku.

Tupo makini ndugu yangu kila tunachokileta humu tunakitoa sehemu salama.

Ukianza kufanya maombi utaingia huku.
 
Ivi sister ww unafaidika na nn kuhusu huu udhamini kama ni Bure.
au wanao toa hizi scholarship wao Huwa wanafaidika na nn( coz naona zinapromotiwa San afu for free)
NB nauliza tu so Kwa ubaya lakn
 
Wanaigeria na wahindi wanaongoza kwa kuscam duniani kuwa makini tu
 
kama watakuwa wanahitaji uwatumie pesa si unawakwepa,mie nikionaga post yoyote natuma ila nikiona naambiwa nitume hela hata buku tu nasepa zangu
 
Moja ya vigezo ni:
  • The applicant must be a national CERN Member or a CERN Associate Member State.
Kindly fafanua kdg hiki kigezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…