Internship Opprtunities - VLYNETECH

Kama(IF) mtu akapita kote huko mpaka induction...kuna posho?
Swali la muhimu sana nauliza hapa
Ukipita utauliza na utajibiwa.Ila sidhani kama kuna mtu anafanya kazi ya kuzalisha pesa bila kulipwa.
 
V2 vngne havina hata haja ya kuuliza kama mtu una nia na hyo intership tuma maombi huko baadae kwenye kujadiliana kama ukiona ofa haifai unaikacha...
Thanks bro.Huyu jamaa haelewi tofauti ya kazi za volunteer na internship.Neno internship limemfanya apoteze network badala ya kusoma majukumu ya kazi na kujipima kama ana yamudu au la kisha aombe akipata kama itamfaa anafanya kama haimfai anarudi hapa JF anaendelea kuweka comment za kumwaga hapa ingawa hata wenye JF wenyewe hawamlipi na wala haingizi senti yoyte.Poor soul.
 
V2 vngne havina hata haja ya kuuliza kama mtu una nia na hyo intership tuma maombi huko baadae kwenye kujadiliana kama ukiona ofa haifai unaikacha...
Sasa maombi yakikubaliwa halafu ukaenda kuikacha huoni kama utakuwa umebania wengine riziki ambao walikataliwa na walikuwa wana nia nayo?
 
Mkuu sio kila organizationa Zinafanana...nimeshaona organizations nyingi tu ambao intern hawapewi chochote
 
Mkuu kama wameridhia sioni tatizo lolote.
Mimi sisemi kuna tatizo au La....mimi nasema atleast wajue hizo conditions kabla ya kuapply na kuenda interview ili wasije kuzingua mbeleni.
 
Mimi sisemi kuna tatizo au La....mimi nasema atleast wajue hizo conditions kabla ya kuapply na kuenda interview ili wasije kuzingua mbeleni.
Ok Tutawajulisha kama hatutawalipa
 
sehem ya ku appload cv hai function, so nmeshindwa kuendelea na application.

Then, sio mara ya kwanza. Nliapply mapema December hii mpaka nikawasiliana na office kuhusu tatzo nikapewa email. No response, pamoja na kuwa na criteria zote.

Nashangaa kuona bandiko tena!

Shida nini mkuu?
 
mkuu,sijapokea lalamiko kama lako,check your device or piga namba on the site.Kuhusu kuwa na vigezo nafikiri vi vyema ukawaacha waajiri wafanye uamuzi wao wenyewe kwa wakati wao.
 
Utapeli ndio unaanzia hapa, umeulizwa swali muhimu na rahisi kuwa je wanalipwa posho au kwa lugha rahisi hela ya usafiri? Vipi kuhusu chakula wakiwa kazini?
 
Utapeli ndio unaanzia hapa, umeulizwa swali muhimu na rahisi kuwa je wanalipwa posho au kwa lugha rahisi hela ya usafiri? Vipi kuhusu chakula wakiwa kazini?
Mkuu,Watalipwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…