interview AAR HEALTH SERVICES

interview AAR HEALTH SERVICES

delly

Member
Joined
Mar 24, 2010
Posts
55
Reaction score
6
Kuna watu wanatuma emails za kuita applicants katika interview wakati si wahusika wa aar health services jihadharini sijui documents wanazitoa wapi.
 
Inabidi tuwe makini manake kuna watu hawahisi uchungu anaopata mtoto wa mkuima mwenye ka elimu kake kisha anakosa ajira au anaa pply unamfanyia mambo ya kihuni..tuwe wastaarabu
 
me nilipata email ya namna hiyo nikawapigia wakasema ni system yao imezituma kwa bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom