D delly Member Joined Mar 24, 2010 Posts 55 Reaction score 6 Jul 25, 2011 #1 Kuna watu wanatuma emails za kuita applicants katika interview wakati si wahusika wa aar health services jihadharini sijui documents wanazitoa wapi.
Kuna watu wanatuma emails za kuita applicants katika interview wakati si wahusika wa aar health services jihadharini sijui documents wanazitoa wapi.
Planner JF-Expert Member Joined Apr 5, 2011 Posts 348 Reaction score 148 Jul 25, 2011 #2 Inabidi tuwe makini manake kuna watu hawahisi uchungu anaopata mtoto wa mkuima mwenye ka elimu kake kisha anakosa ajira au anaa pply unamfanyia mambo ya kihuni..tuwe wastaarabu
Inabidi tuwe makini manake kuna watu hawahisi uchungu anaopata mtoto wa mkuima mwenye ka elimu kake kisha anakosa ajira au anaa pply unamfanyia mambo ya kihuni..tuwe wastaarabu
semango JF-Expert Member Joined Aug 24, 2010 Posts 532 Reaction score 45 Jul 25, 2011 #3 me nilipata email ya namna hiyo nikawapigia wakasema ni system yao imezituma kwa bahati mbaya.