Interview au Kuwekwa kikaangoni Ni Njia Mpya ya Kutongoza au Kutongozwa

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
Kuna haka katabia ambako nimezoea kukaaona kwenye magroup ya whatsapp kakuwekwa kwenye kikaango ambako muda mwingi Moderator wa mdaharu anakuwa upande wa Muulizwa sasa nakaon ahaka katabia kamekuyja pia humu JF, Je Lengo lake ni lipi..

Kudraw attention ya kutongozwa au Kudraw attention ya kutongoza... Kuna mwingine amekuja na njia mpa ya Kutafuta Mchumba kwa kumsifia amtakaye na kutangaa kuwa yuko wapi mbona amechelewa ..

Je hii nayo ya kuwekwa kikaangoni ni njia nyingine ambayo Mpya ya Kutongoza au kutongozwa?
 
Muwindaji hachaguliwi silaha bob...kila mtu na ufundi wake ilimradi digidigi apatikane atafunwe tu basi.
 
ni style za watu walzochagua either kwa kiki kutafut umaaruf hapa JF au changamsha genge

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 


tunawaza pamoja smtym.... uhenga
 
Hahaha Bila Shaka mkuu wazeee wa free p. Heshima kwao yaani hao maneno tuu hawatoi chochote ilq lazima mtu aelekee kibla
Ha ha haaaa mkuu sio sio lazima waelekee zaidi tunakua wapole tu.

Natumai cute b hajambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…