Interview british high commission(bhc)

Natafuta kazi

Member
Joined
May 10, 2012
Posts
31
Reaction score
1
Habari wakuu,

naombeni msaada. nimeitwa kwenye interview BHC wamesema itakua ni written na pia discussion ya roles za hiyo kazi. naombeni mnipe angalau mwanga kuwa huwa inakuaje. plz plz nifumbueni macho wakuu. i ril need that job.

thank you.
 
Habari wakuu,

naombeni msaada. nimeitwa kwenye interview BHC wamesema itakua ni written na pia discussion ya roles za hiyo kazi. naombeni mnipe angalau mwanga kuwa huwa inakuaje. plz plz nifumbueni macho wakuu. i ril need that job.

thank you.

Sasa hujasema hata kazi yenyewe tukusaidieje sasa? funguka then wadau watupie vyombo hapo...
 
So far ninavyojua kazi za Chancery Support officer zinachezea hapa. . . planning and organising diplomatic events, coordinating travel logistics, setting up meetings; maintaining contact databases, taking minutes of meetings and drafting standard letters,
Maswali yatakuwa kwenye competence ya mtu kwenye hizo kazi. Uwezo wa kujiamini na good communication skills because hii ni kazi ambayo utakua unakutana na diplomats wakubwa kwenye vikao na unatakiwa ujue sawia wanachosema na kunote down.. .
Planning skills is another important skill you should have. . .
Nyingine ni uwezo wa kuwa smart, presentable, suti zikukae. . .kama huna mwili nenda gym ukipata kazi hii. . .thats all I know. . .kama umeipenda gonga like.
 
hujasem a kazi yenyewe unahitaji ushauri alafu acha uvivu google inatusaidia sana soma kwa bidii usikose kazi
 

asante
 

Nimegonga oh her behalf naona kachanganyikiwa
 

M2 wang wameku2mia feedback kwa njia gani email au cmu? Halafu interview lini?
 
Walikuwa kwamba ni formal au informal interview??
 
Hongera sana mkuu wangu, na vipi umefikia wapi na imeendaje??

mkuu samahani nilipotea kidogo. nilifanya intavyuu, then wakanitumia email kuwa sijafanikiwa. leo wamenigia simu tu na kuuliza kwa sasa ninafanya wapi kazi basi. sasa hapa nimechanganyikiwa sielewi wanataka nn tana.. aah kichwa inauma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…