Interview chuo IFM

Ndechumia

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
1,164
Reaction score
573
Wakuu eti zile nafasi za ajira chuo cha IFM zilizotangazwa na tume ya ajira mwez may mwaka huu wameutwa kwenye intview wk ijayo tar 30?

Nimepata taarifa kutoka katika chanzo ambacho sio cha kuaminika kivile,
kama kuna ukweli naomba kujulishwa waungwana.
 
Yap mkuu wameita kwa uhakika kama upo kwenye list tembelea website ya utumishi kuna majinia kule.Nadhani posts zilikuwa 4 ila wameita watu kama 268 hivi.kila la heri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…