interview FINCA

interview FINCA

tinamuro

Member
Joined
May 18, 2011
Posts
10
Reaction score
0
jamani wana jf yeyote anayejua kuhusu FINCA naomba msaada kama wameshaanza kuita watu kwenye interview mana nimeapply ila cjapata feedback yeyote ile.
 
Duh..hata mi nimetupia kitu pale but naona kimya sijui ndo ukiona kimya ujue umenawa au............lets keep on waiting.
 
mmm mbona leo wametangaza nafasi zingine kwenye THE GUARDIAN!!!!!!!!!! INAMAANA NYIE HAMNA VIGEZO????
 
kuna watu wengi waliitwa kwa njia ya simu , walikosea wakaita watu wengi wa MZUMBE na UDSM sasa katika kipengele cha mishahara wameshindana
 
So turudie tena tuliokwisha tuma?

usichoke wewe tuma tu maombi kwani nchi yetu hatujafikia wakati ambao tunatumia data base za kumbukumbu ambapo wenye kutaka wafanyakazi wanawapigia simu wenye sifa na kuwaambia siku ya usaili
 
Back
Top Bottom