T tinamuro Member Joined May 18, 2011 Posts 10 Reaction score 0 Jul 28, 2011 #1 jamani wana jf yeyote anayejua kuhusu FINCA naomba msaada kama wameshaanza kuita watu kwenye interview mana nimeapply ila cjapata feedback yeyote ile.
jamani wana jf yeyote anayejua kuhusu FINCA naomba msaada kama wameshaanza kuita watu kwenye interview mana nimeapply ila cjapata feedback yeyote ile.
Planner JF-Expert Member Joined Apr 5, 2011 Posts 348 Reaction score 148 Jul 28, 2011 #2 Duh..hata mi nimetupia kitu pale but naona kimya sijui ndo ukiona kimya ujue umenawa au............lets keep on waiting.
Duh..hata mi nimetupia kitu pale but naona kimya sijui ndo ukiona kimya ujue umenawa au............lets keep on waiting.
M Mwana Mnyonge JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 518 Reaction score 451 Jul 28, 2011 #3 ngoja niulizie wadau kwanza
M Munkya Member Joined Apr 29, 2010 Posts 23 Reaction score 0 Jul 28, 2011 #4 mmm mbona leo wametangaza nafasi zingine kwenye THE GUARDIAN!!!!!!!!!! INAMAANA NYIE HAMNA VIGEZO????
mmm mbona leo wametangaza nafasi zingine kwenye THE GUARDIAN!!!!!!!!!! INAMAANA NYIE HAMNA VIGEZO????
L lauti Member Joined Oct 28, 2010 Posts 92 Reaction score 13 Jul 28, 2011 #5 Kuna best yangu aliitawa wik iliyopita!
G Godwine JF-Expert Member Joined Jan 15, 2010 Posts 1,371 Reaction score 283 Aug 6, 2011 #6 kuna watu wengi waliitwa kwa njia ya simu , walikosea wakaita watu wengi wa MZUMBE na UDSM sasa katika kipengele cha mishahara wameshindana
kuna watu wengi waliitwa kwa njia ya simu , walikosea wakaita watu wengi wa MZUMBE na UDSM sasa katika kipengele cha mishahara wameshindana
M Mapujds JF-Expert Member Joined May 12, 2011 Posts 1,286 Reaction score 128 Aug 6, 2011 #7 So turudie tena tuliokwisha tuma?
G Godwine JF-Expert Member Joined Jan 15, 2010 Posts 1,371 Reaction score 283 Aug 6, 2011 #8 Mapujds said: So turudie tena tuliokwisha tuma? Click to expand... usichoke wewe tuma tu maombi kwani nchi yetu hatujafikia wakati ambao tunatumia data base za kumbukumbu ambapo wenye kutaka wafanyakazi wanawapigia simu wenye sifa na kuwaambia siku ya usaili
Mapujds said: So turudie tena tuliokwisha tuma? Click to expand... usichoke wewe tuma tu maombi kwani nchi yetu hatujafikia wakati ambao tunatumia data base za kumbukumbu ambapo wenye kutaka wafanyakazi wanawapigia simu wenye sifa na kuwaambia siku ya usaili