Interview I-TECH

Interview I-TECH

MjiniShule

Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
11
Reaction score
1
Mambo vipi wakuu? Kuna bwana mdogo wangu aliitwa for written interview I-TECH, tumbo joto hajui kama amepita au la and he doesn't want to call their office. Kuna wadau wowote waliofanya wakaitwa kwenye oral interview? Appreciate.
 
Mkuu, kuna jamaa yangu alifanya hiyo interview. Hasn't been called for oral. Either these guys have botched the written interview or the I-TECH guys are simply taking their time.
 
Mkuu, kuna jamaa yangu alifanya hiyo interview. Hasn't been called for oral. Either these guys have botched the written interview or the I-TECH guys are simply taking their time.

Thanks for the update man.
 
ukiuliza wana kudisqualify nilishafanya interview ya training specialist nikakaa mwezi nikaona ngoja nikaulize c wakanidisqualify live pale pale ofisini kwao so just say ur prays and wait

Kaaazi kwelikweli. Ilikuwa oral/ written?
 
mm nilifanya written ambayo ilikuwa computer nilipomaliza wakanipumzisha for ten minutes nikaingia oral wazungu wawili na Hr mdada mkenya,it was fair
 
mm nilifanya written ambayo ilikuwa computer nilipomaliza wakanipumzisha for ten minutes nikaingia oral wazungu wawili na Hr mdada mkenya,it was fair

Asante for the updates mischa.
 
Back
Top Bottom