Wana jamii kama kuna mtu yeyote ana taarifa kuhusiana na interview kwa wale walioomba nafasi za kufundisha pale IFM atujuze tafadhali kwa nafasi walizotoa mwezi wa tano mwaka huu.
Kwa kweli kama wewe unaomba kuwa lecturer halafu unauliza majibu ya interview ndani ya JF, then sidhani kama unastahili kazi hiyo. Consider yourself out!!!