KUKU_UFUGAJI
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 857
- 1,727
Huyo rafiki yako ndio wewe mwenyewe, huwezi kuomba kazi sehemu bila kujuwa kampuni inahusika na nini na umeomba nafasi gani.Wakuu habari za muda huu, nina rafiki yangu ametumiwa email kichwa cha habari kina eleza kwamba INTERVIEW INVITATION - SYSPRO BUSINESS SUPPORT.
Sasa haelewi hiyo SYSPRO BUSINESS SUPPORT ni nini.
Maana amekuwa akituma application za kazi sehemu nyingi tofauti tofauti sasa hakumbuki kama aliwahi tuma sehemu maombi ya kazi kama SYSPRO BUSINESS SUPPORT.
Naomba kama kuna mtu anajua maana ya SYSPRO BUSINESS SUPPORT au ni aina gani ya kazi basi naomba ufafanuzi kidogo ili nimueleweshe ajue namna ya kujibu hapo kesho kwenye Interview.
Punguza makasriko mkuu,soma vizuri uelewe meseji.Huyo rafiki yako ndio wewe mwenyewe, huwezi kuomba kazi sehemu bila kujuwa kampuni inahusika na nini na umeomba nafasi gani.
Nyinyi watoto mnasikitisha Sana, tunajinyima Sana kuwasomesha lakini matokeo yake ndio kama haya.
Inauma Sana Jaribu kuvaa kiatu cha mzazi aliyeuza asset zake kukusomesha halafu unakuwa mjinga kiasi hiki.
Ume elewa tunaomba majibu kama hauna jibu basi acha au kaa Kimya tafadhali.Huyo rafiki yako ndio wewe mwenyewe, huwezi kuomba kazi sehemu bila kujuwa kampuni inahusika na nini na umeomba nafasi gani.
Nyinyi watoto mnasikitisha Sana, tunajinyima Sana kuwasomesha lakini matokeo yake ndio kama haya.
Inauma Sana Jaribu kuvaa kiatu cha mzazi aliyeuza asset zake kukusomesha halafu unakuwa mjinga kiasi hiki.
Wewe ni Kula kulala bado hujui wazazi wanavyostrugle kuwalipia school fees halafu unakuwa mpumbavu kiasi hiki.Punguza makasriko mkuu,soma vizuri uelewe meseji.
Wewe ni kilazaPunguza makasriko mkuu,soma vizuri uelewe meseji.
Wewe ni kilaza
Wakuu habari za muda huu, nina rafiki yangu ametumiwa email kichwa cha habari kina eleza kwamba INTERVIEW INVITATION - SYSPRO BUSINESS SUPPORT.
Sasa haelewi hiyo SYSPRO BUSINESS SUPPORT ni nini.
Maana amekuwa akituma application za kazi sehemu nyingi tofauti tofauti sasa hakumbuki kama aliwahi tuma sehemu maombi ya kazi kama SYSPRO BUSINESS SUPPORT.
Naomba kama kuna mtu anajua maana ya SYSPRO BUSINESS SUPPORT au ni aina gani ya kazi basi naomba ufafanuzi kidogo ili nimueleweshe ajue namna ya kujibu hapo kesho kwenye Interview.
Skip to contentKama wewe tuu. Hatuna tofauti
Asante sana Mkuu. Nime kuelewa kwenye hilo chapisho lakoSkip to content
- +4413 3285 6362
- Customer Login
Home » ERP Services » ERP Support
ERP Support Services
Expert, local support services when you need it
Ensuring that you have reliable ERP support when you need it is a key element of our support service offering.
SYSPRO ERP Support offers a number of ERP services to help you make the most of your SYSPRO investment. You can select product and technical ERP support via phone or email. Training and consultation can be on an as-needed fee for service basis or we can tailor an ERP support program specifically for your organization on a committed contract basis.
Contact SYSPRO
ERP System Support
Helpdesk Support
SYSPRO offers global Helpdesk Support via telephone, email and fax. Our skilled support team will help resolve any technical problem, giving you a clear and simple solution.
On-Site Support
On-site support is ideal when implementing new features or new solutions, or for users who will be taking on new roles and tasks.
InfoZone
A customer portal that provides company news, product information, quick tips, education and thought leadership to help you maximize your software investment.
Forums
A number of active on-line forums are available for you to engage in various discussions about the product.
Program Application Development
Whether your business need is merely to modify the user interface, develop a custom program or an entire module, or create a link to a third party product, our professional services team will work with you to document and deliver your requirement.
SYSPRO’s Professional Services Department:
- Assists SYSPRO partners in delivering comprehensive solutions for customers
- Works with customers to maximize their investment in SYSPRO’s software on an on-going basis
- Helps with personalization or implementations of certain features or modules that are fairly new to SYSPRO’s market place
- Provides product training to SYSPRO’s partners and customers
Lets work together to create positive change in your business
Get in touch to find out how SYSPRO can assist you and your business today
Contact SYSPRO
Our Offices
Address: Badgers Wood Kiln Lane, Farley Hill, Reading, England, RG7 1XG, United Kingdom
Phone: +4413 3285 6362
Connect with SYSPRO
Linkedin Facebook Instagram Youtube Comment-dots
Global Offices
Product
About SYSPRO
© Copyright SYSPRO 2024. All Rights Reserved.
Sawa sawa kamanda. Asante sanaMkuuu Nakusadia tuuu maana yake hiyo kama application inasaidia mambo biashara mkuuu
kama software za bank View attachment 2972166