Nyamtala Kyono
Senior Member
- Sep 23, 2010
- 163
- 34
daaaaah yani nimejikuta nacheka mwenyewe hakyanani...umenikumbusha mbali sana niliwah kuwa na shati hilo lilikuwa limeandikwa HAWAII,lakini kwenda nalo usailini duuuu?!!!mi nilipiga shati la minazi minazi na suruali ya timberland, kazi nikapata.
Haya preta nipe uzoefu wako basihauna suti?....au shati na suruali ambazo utakuwa smart zaidi ya hizo kadeti na kodrai...?
ninavyoamini kufaulu interview ni pamoja na utanashati......
But vyovyote unavyoona wewe.....ni sawa....
Inategeana unafanya interview na aina ya kazi unayoomba. Kama ni katika Utumishi wa Umma, ni vizuri kama utavaa suruali ya kitambaa na shati, hata kama huna suti funga tai. Hata kama shati ni la draft halina shida ilmradi usichanganye rangi na hiyo surauli. Aidha, mavazi yanategemeana na matukio, hata uanapotoka kwenda club unavaa nguo zinazokutoa chicha lakini sio nzuri kwenye interview.
duuu mkuuu hz nondo zako zimenisaidia sana sana,ubarikiwe na kazi yako ya nne sawabho iwe ya UNi have an experience on this: sikushauri uvae suti unless ni post ya juu kidogo au management level au lawyer....pia kama ni kachumbari kama ulivyotaja sikushauri
vaa shati la LIGHT BLUE na tai ya BLUU iliyokoa..au shati light blue na tai nyekundu..is the best combination ever for jobinterviews..inakufanya uonekane upo live and smart....vaa suruali inayokukaa vyema kiononi...na usivae suruali pana sana..iwe stylish kdigo but not complicated au isiwe modo.
vaa viatu vyeusi na epuka kuvaa nguo kubwa saaana vaa nguo inayokukaa fresh kwenue m,wili ..uwe comfortable..ila plz againzisiwe modo...
remember to smile kiaina sio kufoji..na kitu kama haujui usijilazimishe...
usiwe siriaz sana....japo on th eway ujiachie kidogo..na take control of th einterview..be confident!!
research on the organisation,,ujue wanafanya isues gani;prepare swali la kuwauliza....
wakikuuliza what is ur weakness waambie 'i work too much'...watacheka mpaka basi
my friend I HAVE NEVER FAILED A JOBINTERVIEW...NA NIPO KWENYE KAZI YANGU YA 3 TANGU NIMEMAMALIZA CHUO.
ALL TH BEST
Kwani interview ni viwalo? Kwa mtazamo wangu kuwa smart siyo lazima uvae suit au tie!mi nilipiga shati la minazi minazi na suruali ya timberland, kazi nikapata.
mi nilipiga shati la minazi minazi na suruali ya timberland, kazi nikapata.
Kwani interview ni viwalo? Kwa mtazamo wangu kuwa smart siyo lazima uvae suit au tie!
Kwani ukivaa suruali yako safi na shati ya batiki ya Kiafrika na mambo ukawa unayaweza katika interview utanyimwa kazi?
Yuache kasumba za kipuuzi! Umepanda daladala kwenda interview Dusemba Rar suit si tanuru?
Tuna mavazi yetu mazuri na nadhifu yakufaa sehemu zote! Tuyapebde na tuyatumie!
mchongo wa kupromoti fiesta...mi nilipiga shati la minazi minazi na suruali ya timberland, kazi nikapata.