Interview ktk Jeshi la Magereza Tanzania.

Tugutuke

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
501
Reaction score
166
Hivi naomba nijulishwe,usaili kwa walioomba kazi[nikiwemo] katika jeshi la magereza ni lini,na tutajuaje kuwa leo ndo usaili? Maana siku tunapeleka barua za maombi walikuwa wanakusanya tu na kutwambia turudi home. So mwenye info za kutosha kuhusu hili,anidadavulie.
 
pole, watu wamefanya intavyuu na kupima urefu tarehe 02.05 pale gereza la keko na watarudi tena tarehe 11.05.
 
Gereza la Kisongo Arusha tumefunga rasmi jana intavyuu!
Mwenzetu sijui unataka intavyuu ya aina gani!
 
Je kwa upande wa gereza la Segerea. Make urefu tulipima siku tunapeleka barua za maombi. So cjui ile basic interview kwa Segerea itakuwa ni lini. Msaada tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…