O Old Moshi Senior Member Joined Jul 31, 2011 Posts 118 Reaction score 32 Sep 29, 2011 #1 kwa anaejua hili naomba anisaidie. Ni maswali gani yanayoulizwa kwenye hiyo interview. Nini hasa ninachotakiwa kufanya au jinsi ya kujibu maswali ili niweze kuipata iyo scolarship.
kwa anaejua hili naomba anisaidie. Ni maswali gani yanayoulizwa kwenye hiyo interview. Nini hasa ninachotakiwa kufanya au jinsi ya kujibu maswali ili niweze kuipata iyo scolarship.
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,264 Reaction score 678 Sep 29, 2011 #2 uwe unajua mambo ya freemason Kumbuka scholarship yako ikimalizika unakuja kuwatumikia hawa freemasons Best wishes
uwe unajua mambo ya freemason Kumbuka scholarship yako ikimalizika unakuja kuwatumikia hawa freemasons Best wishes
O Old Moshi Senior Member Joined Jul 31, 2011 Posts 118 Reaction score 32 Sep 29, 2011 Thread starter #3 MamaTibwita said: uwe unajua mambo ya freemason Kumbuka scholarship yako ikimalizika unakuja kuwatumikia hawa freemasons Best wishes Click to expand... are you serious?
MamaTibwita said: uwe unajua mambo ya freemason Kumbuka scholarship yako ikimalizika unakuja kuwatumikia hawa freemasons Best wishes Click to expand... are you serious?