Interview National Audit Office

Ungekuwa engineer ningekutoa, huko kwenye mijihela sitii timu

kaka kwanza mshirikishe Mungu sana kwa hilo mi pia nitakuwa kwenye hiyo interview,jipe MOYO

dah hii interview inakatisha tamaa sana kwani katka kanda zote tisa kuna watu 4040 walioitwa.. then wanatakiwa watu 100..tuu..hapo kwa tuliosoma hesabu probability ni 0.4 kupata!! idadi kubwa inaenda kuchukua uzoefu tuu

umeoa hili jitahdi ujue jinsi ya kujibu alikosi??

Mkuu kua muungwana basi ndugu yetu anaomba msaada tumsaidie jamaa sio kuleta masihara na kama huna cha kuchangia kaa pembeni wachangie wenye uzoefu sio mna criticize mambo ya msingi,kuuliza sio ujinga

nemda ukijua siyo lazima kupata kazi uwe na confo. interview ni simple sana kama umesoma acounts utaenjoy sana coz wanacheza na ISA, AIS,IFRS

tehee tehee, simple like that, wanahitaji watu mia, wameitwa kwenye interview watu zaidi ya elfu moja.

Nimempa point za kusoma'kwani Nbaa ndio wameombwa kutunga paper.Nina mdau kanipa point hizo toka Mhasibu House.ukifaulu unaenda oral kisha computer .
Oh my God... adn we talk of integrity, serikali imeiamini bodi, bodi imewapa sataffs wake na staff wanagawa maswali... badae tunailaumu serikali

Tuna matatizo makubwa

Tunahitaji qualified assistant auditors na sio wababaishaji. Lazima ujue terms za auditing na how zina apply. Ujue audit, plan, report... Kama ulielewa auditing chuon utapass ila kama ulipita kwa kudesa desa 4get.

Mie Mkweche nakuongezea Mdogo wangu!Check na Internal Auditing Functions na Ile IAS 1 Presentation of Financial Statetement
Pitia kiasi The content of a set of statements:
Statement of:
1)Financial Position
2)Comprehensive Income
3)Changes of Equity
4)Cash Fllows
julua kuelezea elements zake
By Kaka Mkweche

Mkuu kua muungwana basi ndugu yetu anaomba msaada tumsaidie jamaa sio kuleta masihara na kama huna cha kuchangia kaa pembeni wachangie wenye uzoefu sio mna criticize mambo ya msingi,kuuliza sio ujinga

Jamaa anahitaji maswali ya interview ya kesho...,muungwana ni yule atakaempatia hayo maswali..Amini usiamini ila kuna watu waliotunga hayo maswali wapo hapa Jamvini na wanaisoma hii post.
Kwahiyo we unashauri wamwambie ili akienda kesho afaulu kwa maksi nzuri apate ajira,.then akawe mkaguzi..Utakuwa mnamdanganya nani hapo?
Tumia akili KIAZI wewe...,Practical field ulifunzwa namna ya kuvaa na heshima ya kazi....Miaka mitatu chuoni ulipewa nondo nenda kazitumie kesho
kwenye usahili na ofisini pia..
Kama nimekuwa m-baya kwako pole lakini naupinga huu upuuzi na ntaupinga daima....,

Reactions: Iza
Oh my God... adn we talk of integrity, serikali imeiamini bodi, bodi imewapa sataffs wake na staff wanagawa maswali... badae tunailaumu serikali

Tuna matatizo makubwa
Swaiba Mzee wa MSD VP?Si unajua Desa linawaongezea Vijana Ma-Confidence wakija Kazini tutawafunza KAZI,mbona vyuoni hawana walimu au walimu wapo busy na Ma-research na Ma-consultancy!Mie Mkweche tena leo nimepokea Wakaguzi wa Ndani wa MOH! Ndio mana nimemkumbusha kazi za Ma-Inernal

Yaani kituko kimetokea huko duce jamani wamewaweka hall watu wanatizamiana kama hawana akili nzuri...sijui hata watapata watu gani maana wengi wanatizamiana sana sana wasimamizi hawana time kabisaaa....sijui hata tunakwenda wapi Utoh sijui kama anajua kuwa watu wake wameachia mlango wazi vilaza watapenya pia

...........tumeifanya ila kilichokuwemo wanajua waliofanya...all the best kwa waliohudhuria

swala liko hvi system yenyewe iko hovyo watu wana madesa kibao hata sisi ambao hatuhusiki na hyo interview tunawaona watu wanavyo hangaika kutafuta madesa ukijifanya unajua inakula kwako mwenyewe so bora mshkaji alivyo amua kuweka wazi na kutafuta desa la interview.watu wanapewa hadi maswali watakayo ulizwa kwenye interview na majibu pia wanapewa yani ni balaa so mimi sishangai nikiona mtu anahangaika kutafuta desa..

interview ilikuwa ya pepa , kama mtu anajua kutoka ni rahic lakin watahiniwa weng hawakujiandaa vizur kwa nilivyoona mm , mana hata nami ilinichapa ila kama ningekuwa na tabia ya kujisomea pepar was fair. Naomba mwenye ule mtihan ani PM na kunipatia kwa future references

That was it, hatuna tabia hii afu tunataka kazi nzuri...

Umeongea sahihi. Katika uhalisia inabidi iwe hivyo. Nina wasiwasi hata wale walotunga maswali wametunga kishule zaidi, so na hawa wajiandae kishule pia. Sasa inabidi hata watunga maswali waegemee sana kwenye 'case studies' ili badala ya kukariri, mtu aelewe.
Otherwise soma hayo mdau Jituoriginal katoa. Pia sali sana, yote yanawezekana.

Toa msaada sio kukosoa, jaribu kuwa na fikra pevu.
Sehemu kubwa ya maswali unayoulizwa kwenye usahili unapaswa kutoa majibu inrelation to the job position u'v applied for.
1. Historia yako- eleza kuendana na kazi uliyoomba, mfano unapotaja elimu na shule ulizosoma usisha kutaja masomo yanayoendana na job position.
2.mafanikio yako-jibu masomo uliyofaulu yanayoendana na job position na mafanikio uliyopata katika kazi iliyopita km uliwai kuajiriwa
3. Experience-km hukuwai kuajiriwa eleza practical training ulizowai kufanya, mda uliokaa darasani(chuo)kuwa masomo na kazi nying zilikuwa practicaly, taja masomo yanayousiana na the position ua aplied for, uliwai kuajiriwa taja nafasi ulizowai kufanya zinazoendana na kazi unayoomba.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…