Interview panel

Ze Maza

Member
Joined
Nov 14, 2009
Posts
35
Reaction score
4
Mhhhh jaman panel watu 21,nafasi internal auditor na assistant auditor.
 
Wanakula posho hao interview ikiisha kila mtu ana bahasha
 
hahahaa iyo ni presentation, inatakiwa uwe na presentation skills, lazima itakua kwenye hii serikali yetu, watu hawana kazi za kufanya, kama unaweza kupata watu 20 kwa wakati mmoja! kweli iyo onoraria imewaniwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…