Interview pes

SYENDEKE

Senior Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
169
Reaction score
26
wanajavini nimeitwa kwenye interview na hawa jamaa pes aliye wahi kufanya interview pale wakoje au ndo uleule ubabaishaji wa hizi recruitment agency zetu

msaada please
 
wanajavini nimeitwa kwenye interview na hawa jamaa pes aliye wahi kufanya interview pale wakoje au ndo uleule ubabaishaji wa hizi recruitment agency zetu

msaada please

Hata mimi nimepokea msg pamoja na email.wameeleza kuwa interview ni on monday May 10,2012.Vipi umeelewa hapo, mbona J3 ni May 14,2012? au imefanyika tayari maana May 10, 2010 ni Jana?
 
mimi wameniambia interview kesho tar 11 may saa 2.30 na wamenipa na link jinsi ya confirm meeting hiyo sasa sijui wewe kwanini iko hivyo kwako pengine bado wanakwenda kwa zamu
 
Nisha fanya nao interview na kazi nikapata ,hawana longo longo utamkuta dada mmoja anaitwa Lisa ndio Hr hapo nadhani z

we jieleze vizuri tu meza Cv yako vizuri na ji brush na common interview questions.kwa sababu hao Pes wao ni agency tu jitaidi kiasi chako maana hiyo sio real interview. the real interview utafanya badae na kampuni husika.
nilivyo fanay interview nilikaa like two weeks ndio nika ona their email,unaeza enda pale wakakuliza ume kuja kufanya nini,mana huwa wan sahau kama wame schedule interview na watu inaeza enda ukaona kama wazinguaji,bada ya kupata kazi ndio nkajua wako serious sema.nilivo enda mimi walinimbia niende asubui sana naenda wana niuliza umekuja kuleta cv au nikamamwambia no nime kuja for interview ndio waka kumbuka nikafanay interview. ingawa wako serious in wat they do nadhani administration yao ilijichanganya for that day ila wako poa hawazingui



Location yao .Panda gari la kwenda mbezi beach shuka Tangi bovu chukua bodaboda mwambie una enda RainBow ukifika rain Bow hapa hapo utaona jina lao pes.
 

pamoja sana mkuu. Ngoja nami niwacheki.
 
thanks very much ndugu umenipa mwanga nitafanya hivyo gudluck
 
kama kuna mtu anafahamu namna ya kujiunga na hawa PES atoe msaada please....tungependa kufahamu na sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…