Interview Radiation Safety Inspector II (TAEC)(udom CIVE Auditorium)

MATEO GODFREY

Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
36
Reaction score
56
Wadau kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu kuitwa kwenye Interview za utumishi kwenye hizo nafasi zinazotaka watu 10 tu na waombaji ni 1760

Nilitaka kufaham kwenye Area kama hiyo kunawezakuwa na maswali ya namna gani

Maana sijawahi hudhulia Interview hata moja
 
Kila la heri mkuu
 
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahhhh huyu jobless wa Mungu simuonagi ndo leo.Ngoja akajue umuhimu wa ushirikiano kwanza
Kasema ndio zari limemuangukia sasa, kuanzia sasa lazima atakuwa active humu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh lazima awe active ,nikipata muda nitampa detail zakuanzia akapate hata 20
Daaahh, kwamba lazima wakandaji wafanye yao...
 
 
U Umesoma course gani mkuu?
 
Written:
-Maswali 4
-Muda dk 40
-Jibu short and clear, direct to the point, elezea kidogo ukiona kuna ulazima
-Marks za kufaulu ni 50, ila kuchaguliwa kwenda oral kutategemeana na ufauli wenu, unaweza ukapata 85 na usiitwe oral endapo walio wengi wakapata zaidi ya 85.

wizy kwenye area za kuconcentrate mshike mkono akapambane na baridi la CIVE
 
Pamoja ngoja arespond nimpe pakusoma kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ