L LENIN'S Member Joined Mar 13, 2011 Posts 13 Reaction score 1 Jul 17, 2011 #1 Wajameni kuna post zilitangazwa Tcra na mamlaka ya usimamizi wa viwanja vya ndege;kuna aliyeitwa kwa ajili ya usaili/kazi?
Wajameni kuna post zilitangazwa Tcra na mamlaka ya usimamizi wa viwanja vya ndege;kuna aliyeitwa kwa ajili ya usaili/kazi?
Nicazius Senior Member Joined Feb 6, 2008 Posts 143 Reaction score 17 Jul 17, 2011 #2 Pole sana ndugu yangu, achana na hao Jamaa... watakupotezea muda wako...
Ta Kamugisha JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,541 Reaction score 2,187 Jul 17, 2011 #3 Mbona wameshaajiri!
M masoudmwevi Member Joined Aug 5, 2008 Posts 53 Reaction score 2 Jul 17, 2011 #4 Ta Kamugisha said: Mbona wameshaajiri! Click to expand... iwe!ulio?boojo ta kamugisha? Bado bana hiyo kitu,mi nipo huku ndo tuko kwenye mchakato wa kuita.
Ta Kamugisha said: Mbona wameshaajiri! Click to expand... iwe!ulio?boojo ta kamugisha? Bado bana hiyo kitu,mi nipo huku ndo tuko kwenye mchakato wa kuita.
M Mapujds JF-Expert Member Joined May 12, 2011 Posts 1,286 Reaction score 128 Jul 18, 2011 #5 Nchi hii inambo sana katika swala la ajira
Observer2010 Senior Member Joined Oct 29, 2010 Posts 195 Reaction score 44 Jul 20, 2011 #6 Mapujds said: Nchi hii inambo sana katika swala la ajira Click to expand... Hapo red haujaeleweka mkuu...
Mapujds said: Nchi hii inambo sana katika swala la ajira Click to expand... Hapo red haujaeleweka mkuu...
yutong JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 1,601 Reaction score 338 Jul 20, 2011 #7 tcra bajeti yao ni ya safari tu, no research no what
Mdau Mkuu JF-Expert Member Joined Dec 12, 2009 Posts 233 Reaction score 46 Jul 20, 2011 #8 Observer2010 said: Hapo red haujaeleweka mkuu... Click to expand... Haha haha haha jamani jamani vijana mna mambo!
Observer2010 said: Hapo red haujaeleweka mkuu... Click to expand... Haha haha haha jamani jamani vijana mna mambo!