Interview TRA 2025 (Walioitwa kwenye Usaili 29 na 30)

Mkuu hivi imekaaje kwa wale tusio tumia majina matatu kuwekewa pale katikati ya jina sifuri then ndio jina la mwisho lina fuata..?
Kwa kweli sijui, Nahisi system yao ilitaka majina matatu, so kama una mawili huenda ilikuwa inawakatalia kuendelea na zoezi ndo maana wakawawekea 0
 
Kwa kweli sijui, Nahisi system yao ilitaka majina matatu, so kama una mawili huenda ilikuwa inawakatalia kuendelea na zoezi ndo maana wakawawekea 0
Ni kweli mkuu ila nimesikia haina tatizo kwenye usahili ikiwa mtu amekidhi vigezo vya kazi husika ndomana system ina muweka mwenye majina hayo mawili kama hivyo kwenye Short list yao.
 
Kupotezeana muda na ubabaishaji mwingi. Haingii akili nafasi 30 uite watu 6000 kwenye interview. Wangeita hata watu 150 au 200 tungewaelewa
 
Sio sahihi, kuna watu wame apply zaidi ya mara moja pia wengi tu hapo wameajiriwa ila wanataka either kupata serikalini au wengine wanataka uhamisho kutoka sekta moja serikalini kwenda nyingine.
 
Kuna ambao majina yametoka kwenye Position zaidi ya Moja...sasa sijui unaruhusiwa kufanya sehemu zote?
 
Kwa anaejua maswali ya boat technical yanakuaje kweny written interview msaada jaman
 
Kuna ambao majina yametoka kwenye Position zaidi ya Moja...sasa sijui unaruhusiwa kufanya sehemu zote?
Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayo
1. Kasukali Mtani Jembe
Na
2. Kasukali M Jembe

Ana haja ya kuwa na affidavit ili kuonesha ni mtu mmoja?
 
Na hapo kuna wengine hawakuomba bado ilo nyomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…