Gusa achia twende kwao
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 916
- 1,031
ww nenda alimradi print hio fom kwenye email na mahitaji husikaHii imekaaje, yaani jina lakuitwa kwenye usaili lipo lakini barua yenye namba ya usaili haijatumwa kwenye barua pepe, hapa natatuaje au basi tena ππ
Sio sahihi, kuna watu wame apply zaidi ya mara moja pia wengi tu hapo wameajiriwa ila wanataka either kupata serikalini au wengine wanataka uhamisho kutoka sekta moja serikalini kwenda nyingine.
Boat technician interviews often focus on technical expertise, problem-solving skills, and safety awareness. Here are some common questions you might encounter:Kwa anaejua maswali ya boat technical yanakuaje kweny written interview msaada jaman
Hao wote walioomba sio kwamba hawana ajira hapana. Wengine wanataka kutoka sehemu moja kwenda nyingine.Nimeipitia hiyo PDF nimegundua kweli ajira ni changamoto kubwa sana kwa Taifa.
Imagine kitengo cha Tax manager kuna watu walioitwa kwenye interviews roughly 6000 halafu katika hao wanaohitajika sidhani kama wanafika hata 30.
Mfano HR peke yake imekusanya watu 5656 ambao wameitwa kwenye usahili. Hii ni sawa na jumla ya idadi ya wanafunzi wa chuo kizima cha MUST.
Hii listi ni ndefu mno na inaweza kukatisha tamaa watu wengi.
Kufanya mchujo kwa idadi hiyo ya watu kupitia interviews ya kuandika uje uwapate hao 30 ambao wanahitajika sioni kama ni jambo rahisi.
Walau kitengo cha Boat technician ndio nimeona kina watu wachache 36 napo hapo sijui wanaohitajika ni wangapi ila at least chance inaonekana.
Muhimu ni kwenda tu kwenye interviews ukiwa umejiandaa huwenda dusko likakuangukia huwezi jua.
Ndio huo ugumu sasa ambao nauona.Hao wote walioomba sio kwamba hawana ajira hapana. Wengine wanataka kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Utashangaa siku ya interview parking inajaa magari ya wasailiwa. Na pale Bunju APC wali nyama 7000 na watu wanakula.
kwanza nikusahihishe affirdavity hairuhusiwi ibnatakiwa deedMsaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayo
1. Kasukali Mtani Jembe
Na
2. Kasukali M Jembe
Ana haja ya kuwa na affidavit ili kuonesha ni mtu mmoja?
Unajua matumizi ya deed poll?kwanza nikusahihishe affirdavity hairuhusiwi ibnatakiwa deed
Haina shidaMsaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayo
1. Kasukali Mtani Jembe
Na
2. Kasukali M Jembe
Ana haja ya kuwa na affidavit ili kuonesha ni mtu mmoja?
Sikuhizi wanatumia deed poll kama majina yanatofautiana, hata kwenye email zako wamewaandikia watu waende na deed poll ambao majina yametofautiana, na hii deed poll ninavyojua ni process ndefu mpaka kuipata, so wanaweza kukosa kufanya mtihani ambao majina yanatofautianaUnajua matumizi ya deed poll?
Kwani aliomba mara mbili? Je, tarehe, muda na venue ya interview ni moja?Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayo
1. Kasukali Mtani Jembe
Na
2. Kasukali M Jembe
Ana haja ya kuwa na affidavit ili kuonesha ni mtu mmoja?
Mimi pia Mkuuni kweli kabisa me nakumbuka 2022 tulikua wengi sana ila bahati inakuja upande wako
SomaKwani aliomba mara mbili? Je, tarehe, muda na venue ya interview ni moja?
Achague moja, maana mshika mawili..........
Sawa, hapo tofauti ya majina iko wapi ?Sikuhizi wanatumia deed poll kama majina yanatofautiana, hata kwenye email zako wamewaandikia watu waende na deed poll ambao majina yametofautiana, na hii deed poll ninavyojua ni process ndefu mpaka kuipata, so wanaweza kukosa kufanya mtihani ambao majina yanatofautiana
Wakaunda umoja wa NATO wao watauita TATOPdf ina 11MB π sio poa, naamini hawa wanajitambua hawatopiga kelele mpaka kuunda chama chao kama waalimu
Hawachelewi kukwambia hao watu wawili tofautiSawa, hapo tofauti ya majina iko wapi ?
1. Kasukali Mtani Jembe
Na
2. Kasukali M Jembe
Kwa kigezo kipi ?Hawachelewi kukwambia hao watu wawili tofauti
Huku asali tamuπKwenye usaili wa waalimu kuna watu walilalamika usaili kufanyika siku ya jmosi kwamba ni sabato, ila huku sijaona hizo mambo, aisee waalimu wana matatizo mengi mno kichwani π