Mfwalamanyambi
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 433
- 102
asante kwa taarifa,mm kimya,cjui nimekosa mungu wangu?Leo nimepigiwa simu kuhudhuria interview tarehe 18/7/2011 pale CHAS_UDOM. Kwa hiyo wengine mlioomba kazi pale jaribuni kufuatilia kama mmekuwa shortlisted.
boss,mm niliomba TA cjui mfwalamba aliomba post gan! Labda atuambie tujue kama ndio tumeliwaMkuu uliomba nafasi gani? Maana mie naona kimya na simu zangu zote ziko full charged na network inasoma 100% sasa nijue kama ndo nimekosa au wameita kivitengo.
boss,mm niliomba TA cjui mfwalamba aliomba post gan! Labda atuambie tujue kama ndio tumeliwa
mkuu mentor vipi sasa kuhusu contact za wazalendo sec school? Ningepata namba ya mhusika niongee nae anipatie nafas ya kufundisha mkuu,nipo kwenye shule ya kata kijijin kwa sasa,na hawalip ki2 wanasema wazazi hawana pesahongera mkuu...mimi niliambiwa nika-translate transcript yangu TCU....2bad afta that nikaambiwa muda umeisha.Kailiendeleza libeneke la elimu mkuu...pamoja tuijenge nchi, wherever we are...!!!
mkuu mentor vipi sasa kuhusu contact za wazalendo sec school? Ningepata namba ya mhusika niongee nae anipatie nafas ya kufundisha mkuu,nipo kwenye shule ya kata kijijin kwa sasa,na hawalip ki2 wanasema wazazi hawana pesahongera mkuu...mimi niliambiwa nika-translate transcript yangu TCU....2bad afta that nikaambiwa muda umeisha.Kailiendeleza libeneke la elimu mkuu...pamoja tuijenge nchi, wherever we are...!!!
mkuu mentor vipi sasa kuhusu contact za wazalendo sec school? Ningepata namba ya mhusika niongee nae anipatie nafas ya kufundisha mkuu,nipo kwenye shule ya kata kijijin kwa sasa,na hawalip ki2 wanasema wazazi hawana pesa
sawa mentor nitashukuru,nitaandaa barua kabisa leo,nitashukuru sana mkuuHaiya..i had forgotten kaka! Nipe tu leo please kesho nikupe namba ya Mkuu wa chuo Dr. Mbasha..but nadhani ungeandika barua kabisa.
Utakuwa hukubaatika mkuu!!pole sana!Mkuu uliomba nafasi gani? Maana mie naona kimya na simu zangu zote ziko full charged na network inasoma 100% sasa nijue kama ndo nimekosa au wameita kivitengo.
Utakuwa hukubaatika mkuu!!pole sana!
Ndugu zangu nimeshadhibitisha kuwa kuna baadhi ya watu wameita kwenye interview na wanaita kulingana na department kwani mpaka sasa department of history ndio imeanza kuita watu kwa ajili ya interview sasa hivi naelekeya utawala nitawajulisha kwa taarifa zaidi baadaye
mwanangu tupe update mzee..tshapgka kitaa kwa sanaNdugu zangu nimeshadhibitisha kuwa kuna baadhi ya watu wameita kwenye interview na wanaita kulingana na department kwani mpaka sasa department of history ndio imeanza kuita watu kwa ajili ya interview sasa hivi naelekeya utawala nitawajulisha kwa taarifa zaidi baadaye
duuh! Ama kwel tupo weng huku mitaan,tuhabarishe mkuumwanangu tupe update mzee..tshapgka kitaa kwa sana
hongera mkuu...mimi niliambiwa nika-translate transcript yangu TCU....2bad afta that nikaambiwa muda umeisha.
Kailiendeleza libeneke la elimu mkuu...pamoja tuijenge nchi, wherever we are...!!!
haswb Ngoswe,naona anataka kunizimisha roho huyu,looh! Lakin matumain yanapotea muda unavyozid kwenda,ebu lulungeni tuhabarishe tunakusubiriMkuu mbona unakatisha watu tamaa sana! Ina maana wameianza kuita katka college zote au Una maana gani? Kama una habari za uhakika ni vema uziweke hadharani kuliko kuturusha roho namna hii. We unataka Mbufu akija kusoma hii comment yako azimie au una maana gani? Sisi tumeomba job bana na bado tuna imani tutaitwa unless wawe na watu wao kabisaaa vinginevyo lazima kieleweke!