Kisiya Jr.
Senior Member
- Nov 21, 2011
- 102
- 29
I salute to you all.
I hereby to get informed whether the posts advertised on June this year at UDSM the lnterview is already held.
lf you are aware of this, kindly update me.
Thank for your concern.
Jaman ndo swal au ndo tangazo wadau mana macho ya weng yanalenga hapo
mkuu unaulza swali au unatoa information?
mkuu unaulza swali au unatoa information?
Tatizo lako tangu ulivokaririshwa chekechea hadi leo kwamba hadi uone question mark ndo ujue ni swali.
Tatizo lako tangu ulivokaririshwa chekechea hadi leo kwamba hadi uone question mark ndo ujue ni swali.
nilitumia ustaarabu sana kukuuliza lakini kwa kichwa chako ndisebwasi umenunua ligi.
Mkuu kama unasubiri cjui shortlist za ulecturer au any administrative posts at udsm ucjisumbue coz kwa hyo grammar yako shaky huendi popote nyie ndio vilaza wa kudesa vyuoni
-anyway ngoja bac nkupe darasa lingine la bure nililofundishwa chekechea pamoja na ile question marks
1. I salute TO you all= I SALUTE YOU ALL
2. On June= In JUNE
UDSM wakikuchukua ww na rank watashuka maana dessertation zako kwa kiingereza hiko ztapigwa PO kila leo!
huna lolote, ulishindwa kuelewa swali unaleta mambo ya on/in, go revise ur schema ndo ununue ligi.
Alokwambia wote walioajiriwa udsm are gud at grammar nani?..we wapi wewe!
I salute to you all.
I hereby to get informed whether the posts advertised on June this year at UDSM the lnterview is already held.
lf you are aware of this, kindly update me.
Thank for your concern.
huna lolote, ulishindwa kuelewa swali unaleta mambo ya on/in, go revise ur schema ndo ununue ligi.
Alokwambia wote walioajiriwa udsm are gud at grammar nani?..we wapi wewe!
Kilahunja nakupendaga wewe changamoto zako, yaan nataman kweli nikuone he he he, kuna siku ulinishushua mpaka basi, jamaa analeta za gramar wakat hajaelewa swali
Even if it was to be held today,you'd still face a lot of grammar challenges..practice first..
Jamaa ashajibiwa kuwa interview tayar about 3 weeks ago ila ushauri wa bure akajifunze english course tu hata kwa level ya intermediate itamsaidia hapo mbeleni