Interview with DJ Sepetu

Kwanini uliacha kutumia id ya muosha rungu?
Je kupitia interview unazofanya hapa jukwaani umefanikiwa kupata demu?
 
Kwanini uliacha kutumia id ya muosha rungu?
Je kupitia interview unazofanya hapa jukwaani umefanikiwa kupata demu?
Muosha rungu sijaiacha ni signature yangu nilichofanya ni verse versa tu

Sifanyi interview kupata mademu jf
Na kama ninao is just natural love
 
OK,kitu gani kilikupelekea kuwa mtu wa intavyuu hapa JF,nini kilikuvutia kwenye hilo?
Am very social toka chekechea ni rahisi sana kuchangamana Na watu kwa kuwa napenda jamii
Sipendi kukasirika ovyo nataka kujenga Na kuvumbua furaha all the time
Happiness kwangu ni kama dhahabu kwa miner ndio maana nikaja Na interview ambazo lengo lake ni burudani zaidi ili tufahamiane Na kupunguza ufake at least kidogo
 
Ahsante,hapo kwenye chekechea pameniletea swali.Vipi kuhusu elimu yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…